Mimi Henock Baradi ni mwimbaji. Namwimbia Mungu kwa kuwa aliniokoa. Naimba pamoja na watu wawili: Neema (kwenye picha) na Mama Roda.

Woi, Woi Ni Kuteseka | Naelewa Njia | Mambo Yakoje? | Simama Vizuri | Lakini Tumekuta | Mtazame Kiongozi Kwangu | Yesu Kiongozi | Natazama Juu | Sikilizeni Nyinyi | Mungu Wangu Naomba Kwako | Mimi Nawe | Mambo ya Dunia Hii | Njia Nzuri