Katika kila kijiji, wazee wanalinda chemchem za maji. Alfayo Gudodo, kutoka Kisangiro, anaimba kuhusu maji ya uhai. Maana yake ni kwamba uzima kama maji, umetoka kwa Mungu.
Kwaya wa FPCT walirekodi nyimbo hizi mwaka 2001.

Your stories help make websites like this possible.