Hadithi za Asili na Kumbukumbu

Kusoma hadithi za asili siyo rahisi. Kuna mambo mengi ndani yanayoshangaza. Lakini umuhimu wa hadithi hizi ni kwa vile zilitolewa zamani sana, na maana yake imefichwa. Usiogope kuchimbua! Pia utafurahia kusoma kumbukumbu ya wazee waliosimulia mambo ya kale. Na hayo yatasaidia watoto wetu.

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.