Watu wa FPCT Kisangiro wanaimba nyimbo kuhusu upendo, lakini siyo upendo wa kawaida, ni upendo wa Mungu. Jina hili la 'Lukondo' maana yake kwa Kiswahili ni 'upendo.'
Kwaya Lukondo
Your encouragement is valuable to us
Your stories help make websites like this possible.