Vitabu vya Biblia

Ukifuatilia mambo haya utafurahia utamu wake, au hata kujua mambo mengi sana. Utaona vile Mungu anavyopenda watu waliomkubali na kuacha vitu vyao vyote na kumfuata yeye.

Siku moja Yesu alipokuwa akitembea zake aliwaona watu watatu waliokuwa wakivua samaki, Yakobo, Petro, na Yohana. Yesu akawaambia, "Acheni hayo myafanyayo nifuateni mimi nani nitawafanya kuwa wavuvi wa watu." Petro na wenzake waliziacha nyavu zao wakamfuata yeye na hapo ndipo Yesu alipoanza kuwaita watu hadi leo anawaita.

Downloads

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.