Philipo Naibugo amezaliwa Digodigo, lakini alihamia Penyinyi. Kule anaongoza kanisa. Nyimbo hizi zilirekodiwa mwaka 2014.

Vitu Vinaonekana | Dunia Yetu | Ndoto | Nahurumia | Kuna Amani Duniani? | Kitu Unachokitaka | Unasikiliza Nini? | Hapa Siyo Kwetu | Tumefuatiliwa | Ugumu Haupo | Neno Hilo | Yesu Ndiyo Anasaidia | Yesu Mungu Wetu | Yesu ni Mungu | Shika Ukweli