Hapa utasikia nyimbo za wanawake, wanavyoimba kumbembeleza mtoto alale, au wanapolima kwenye makundi, au siku za raha wakati watoto wao wanapooa na kuolewa.

Kumbembeleza Mtoto | Wimbo wa Kilimo | Upendo wa Watoto Wetu | Wimbo wa Sherehe ya Mahari | Wimbo wa Harusi